Ecclesiastes 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali kusikia maonyo ya wenye hekima kuliko kusikiliza nyimbo za wapumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali kusikia maonyo ya wenye hekima kuliko kusikiliza nyimbo za wapumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali kusikia maonyo ya wenye hekima kuliko kusikiliza nyimbo za wapumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuyasikiliza makemeo ya mwerevu wa kweli ni kwema, kuliko mtu akizisikiliza nyimbo za wajinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali kusikia maonyo ya wenye hekima kuliko kusikiliza nyimbo za wapumbafu.