Ecclesiastes 7:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, kicheko cha mpumbavu ni kama mlio wa miiba motoni. Hayo nayo ni bure kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ilivyo kuvunjika kwa miiba chini ya sufuria, ndivyo kilivyo kicheko cha wapumbavu. Hili nalo pia ni ubatili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu. Hayo nayo ni ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, kicheko cha mpumbavu ni kama mlio wa miiba motoni. Hayo nayo ni bure kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ilivyo kuvunjika kwa miiba chini ya sufuria, ndivyo kilivyo kicheko cha wapumbavu. Hili nalo pia ni ubatili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ilivyo kuvunjika kwa miiba chini ya sufuria, ndivyo kilivyo kicheko cha wapumbavu. Hili nalo pia ni ubatili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu. Hayo nayo ni ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, kicheko cha mpumbavu ni kama mlio wa miiba motoni. Hayo nayo ni bure kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kama moto wa miiba unavyovuma chini ya chungu, ndivyo, macheko ya mjinga yalivyo; hayo nayo ni ya bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu. Hayo nayo ni ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, kicheko cha mupumbafu ni kama mulio wa miiba katika moto. Hayo nayo ni bure.