Ecclesiastes 8:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani aliye kama mwenye hekima? Nani ajuaye hali halisi ya vitu? Hekima humletea mtu tabasamu, huubadilisha uso wake mwenye huzuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? Hekima hung’arisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliye kama mwenye hekima; Naye ni nani ajuaye kufasiri neno? Hekima ya mtu humng'ariza uso wake, Na ugumu wa uso wake hubadilika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani aliye kama mwenye hekima? Nani ajuaye hali halisi ya vitu? Hekima humletea mtu tabasamu, huubadilisha uso wake mwenye huzuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? Hekima hung'arisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? Hekima hung’arisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliye kama mwenye hekima; Naye ni nani ajuaye kufasiri neno? Hekima ya mtu humwangaza uso wake, Na ugumu wa uso wake hubadilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani aliye kama mwenye hekima? Nani ajuaye hali halisi ya vitu? Hekima humletea mtu tabasamu, huubadilisha uso wake mwenye huzuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliye kama mwerevu wa kweli ni nani? Tena yuko nani ajuaye maana ya mambo? Werevu wa kweli wa mtu huuangaza uso wake, ushupavu wa uso wake ugeuzwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliye kama mwenye hekima; Naye ni nani ajuaye kufasiri neno? Hekima ya mtu humng’ariza uso wake, Na ugumu wa uso wake hubadilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayekuwa kama mwenye hekima? Nani anayejua maana ya kila kitu? Hekima inaangarisha uso wa mutu, inaondoa alama za upumbafu.