Ecclesiastes 8:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, nimewaona waovu wakizikwa, na watu waliporudi kutoka mahali patakatifu wanawasifu humohumo mjini walimotenda maovu yao. Hayo nayo ni bure kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo pia nikaona waovu wakizikwa, wale waliozoea kuingia na kutoka mahali patakatifu na kupewa sifa katika mji ambao waliyafanya haya. Hili nalo ni ubatili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia nikaona waovu wamezikwa, nao wamefika kaburini; tena waliofanya mema wameondoka katika patakatifu, nao wamesahauliwa mjini. Hayo nayo ni ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, nimewaona waovu wakizikwa, na watu waliporudi kutoka mahali patakatifu wanawasifu humohumo mjini walimotenda maovu yao. Hayo nayo ni bure kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo pia, nikaona waovu wakizikwa, wale ambao walizoea kuingia na kutoka mahali patakatifu na kupewa sifa katika mji ambapo walikuwa wamefanya haya. Hili nalo ni ubatili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo pia, nikaona waovu wakizikwa, wale ambao walizoea kuingia na kutoka mahali patakatifu na kupewa sifa katika mji ambapo walikuwa wamefanya haya. Hili nalo ni ubatili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia nikaona waovu wamezikwa, nao wamefika kaburini; tena waliofanya mema wameondoka katika patakatifu, nao wamesahauliwa mjini. Hayo nayo ni ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, nimewaona waovu wakizikwa, na watu waliporudi kutoka mahali patakatifu wanawasifu humohumo mjini walimotenda maovu yao. Hayo nayo ni bure kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaona, wasiomcha Mungu wakizikwa, wafike pao; nao waliofanya yaliyopasa hawakuwa na budi kuondoka mahali patakatifu, wakasahauliwa mle mjini. Hayo nayo ni ya bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia nikaona waovu wamezikwa, nao wamefika kaburini; tena waliofanya mema wameondoka katika patakatifu, nao wamesahauliwa mjini. Hayo nayo ni ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, nimeona waovu wakizikwa, watu ambao walizoea kuingia na kutoka pahali patakatifu, na kusifiwa katika muji uleule walimotenda maovu yao. Hayo nayo ni bure.