Ecclesiastes 8:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini hakuna furaha kwa waovu. Wao watapita kama kivuli, maisha yao hayatakuwa marefu kwa sababu hawamchi Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa sababu waovu hawamwogopi Mungu, hawatafanikiwa, maisha yao hayatarefuka kama kivuli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
walakini haitakuwa heri kwa mwovu, wala hatazidisha siku zake, zilizo kama kivuli; kwa sababu hana kicho mbele za Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini hakuna furaha kwa waovu. Wao watapita kama kivuli, maisha yao hayatakuwa marefu kwa sababu hawamchi Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa sababu waovu hawamwogopi Mungu, hawatafanikiwa, maisha yao hayatarefuka kama kivuli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa sababu waovu hawamwogopi Mungu, hawatafanikiwa, maisha yao hayatarefuka kama kivuli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini haitakuwa heri kwa mwovu, wala hatazidisha siku zake, zilizo kama kivuli; kwa sababu hana kicho mbele za Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini hakuna furaha kwa waovu. Wao watapita kama kivuli, maisha yao hayatakuwa marefu kwa sababu hawamchi Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini asiyemcha Mungu hataona mema, wala hatakaa siku nyingi, ila huwa kama kivuli tu, kwa kuwa hauchi uso wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
walakini haitakuwa heri kwa mwovu, wala hatazidisha siku zake, zilizo kama kivuli; kwa sababu hana kicho mbele za Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuna furaha kwa waovu. Wao watapita kama kivuli, maisha yao hayatakuwa marefu kwa sababu hawamwogopi Mungu.