Ecclesiastes 8:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usifanye haraka kuondoka mbele yake; wala usiwe na kiburi juu ya jambo baya, maana mfalme hufanya apendavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiharakishe kuondoka mbele ya mfalme. Usiendelee kutenda lililo baya, kwa maana mfalme atafanya lolote apendalo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifanye haraka kutoka mbele ya uso wake; usiendelee kufanya lililo baya; maana yeye hufanya lo lote limpendezalo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usifanye haraka kuondoka mbele yake; wala usiwe na kiburi juu ya jambo baya, maana mfalme hufanya apendavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiharakishe kuondoka mbele ya mfalme. Usiendelee kutenda lililo baya, kwa maana mfalme atafanya lo lote apendalo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiharakishe kuondoka mbele ya mfalme. Usiendelee kutenda lililo baya, kwa maana mfalme atafanya lolote apendalo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifanye haraka kutoka mbele ya uso wake; usiendelee kufanya lililo baya; maana yeye hufanya lolote limpendezalo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usifanye haraka kuondoka mbele yake; wala usiwe na kiburi juu ya jambo baya, maana mfalme hufanya apendavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usitoke upesi usoni pake, wala usishikamane na shauri baya! Kwani yeye hufanya yote yampendezayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifanye haraka kutoka mbele ya uso wake; usiendelee kufanya lililo baya; maana yeye hufanya lo lote limpendezalo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usifanye haraka kukataa mamlaka yake, wala usiendelee kutenda lisilomupendeza, maana mufalme anafanya jinsi anavyopenda.