Ecclesiastes 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amri ya mfalme ni kauli ya mwisho; nani athubutuye kumwuliza, “Unafanya nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa neno la mfalme lina nguvu; naye ni nani awezaye kumwambia huyo, Wafanya nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amri ya mfalme ni kauli ya mwisho; nani athubutuye kumwuliza, “Unafanya nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa neno la mfalme lina nguvu; naye ni nani awezaye kumwambia huyo, Wafanya nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amri ya mfalme ni kauli ya mwisho; nani athubutuye kumwuliza, “Unafanya nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa neno la mfalme lina nguvu, yuko nani awezaye kumwambia: Unafanya nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa neno la mfalme lina nguvu; naye ni nani awezaye kumwambia huyo, Wafanya nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amri ya mufalme ni shauri la mwisho. Nani anayesubutu kumwuliza: “Unafanya nini?”