Ecclesiastes 8:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayetii amri hatapata madhara, na mwenye hekima atajua kuna wakati na njia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, moyo wa hekima utajua wakati mwafaka na jinsi ya kutenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aishikaye amri hatajua neno baya; Na moyo wa mwenye hekima hujua wakati na hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayetii amri hatapata madhara, na mwenye hekima atajua kuna wakati na njia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote anayetii agizo lake hatadhurika, moyo wa hekima utajua wakati muafaka na jinsi ya kutenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, moyo wa hekima utajua wakati muafaka na jinsi ya kutenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aishikaye amri hatajua neno baya; Na moyo wa mwenye hekima hujua wakati na hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayetii amri hatapata madhara, na mwenye hekima atajua kuna wakati na njia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aishikaye amri yake hataona baya lo lote; nao moyo wa mwerevu wa kweli hujua, siku za wakati wa kukatia shauri zitakapotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aishikaye amri hatajua neno baya; Na moyo wa mwenye hekima hujua wakati na hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayetii amri hatapata hasara, na mwenye hekima atajua kwamba kuna wakati wa hukumu.