Ecclesiastes 8:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hajui ni nini kitakachotukia baadaye, kwani nani awezaye kumjulisha yatakayotukia baadaye?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa vile hakuna mtu ajuaye siku zijazo, ni nani awezaye kumwambia linalokuja?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa hajui yatakayokuwako; kwa maana ni nani awezaye kumweleza jinsi yatakavyokuwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hajui ni nini kitakachotukia baadaye, kwani nani awezaye kumjulisha yatakayotukia baadaye?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa vile hakuna mtu ajuaye siku zijazo, ni nani awezaye kumwambia linalokuja?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa vile hakuna mtu ajuaye siku zijazo, ni nani awezaye kumwambia linalokuja?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa hajui yatakayokuwako; kwa maana ni nani awezaye kumweleza jinsi yatakavyokuwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hajui ni nini kitakachotukia baadaye, kwani nani awezaye kumjulisha yatakayotukia baadaye?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa kuwa hayuko ayajuaye yatakayokuwako, yuko nani atakayewaeleza, jinsi yatakavyokuwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa hajui yatakayokuwako; kwa maana ni nani awezaye kumweleza jinsi yatakavyokuwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hajui ni kitu gani kitakachotukia nyuma, maana ni nani anayeweza kumujulisha yatakayotukia nyuma?