Ecclesiastes 9:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia hapa duniani nimeona mfano wa hekima, na ulionekana kwangu kuwa wenye maana sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia nimeona hekima chini ya jua, nayo ni kama hivi, tena kwangu mimi ilionekana kuwa ni neno kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia hapa duniani nimeona mfano wa hekima, na ulionekana kwangu kuwa wenye maana sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia nimeona mfano huu wa hekima chini ya jua, nao ni kama hivi, tena kwangu mimi ulionekana kuwa neno kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia hapa duniani nimeona mfano wa hekima, na ulionekana kwangu kuwa wenye maana sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoutazama tena werevu wa kweli ulioko chini ya jua, nikauona kuwa mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia nimeona hekima chini ya jua, nayo ni kama hivi, tena kwangu mimi ilionekana kuwa ni neno kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile hapa chini ya jua nimeona mufano wa hekima, na ulionekana kwangu kuwa wenye maana sana.