Ecclesiastes 9:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuwa na hekima ni bora kuliko kutegemea silaha, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mazuri mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mema mengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita; Lakini mkosaji mmoja huharibu mema mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuwa na hekima ni bora kuliko kutegemea silaha, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mazuri mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mema mengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mema mengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita; Lakini mkosaji mmoja huharibu mema mengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuwa na hekima ni bora kuliko kutegemea silaha, lakini mwenye dhambi mmoja huharibu mazuri mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Werevu wa kweli hufaa kuliko vyombo vya vita, naye mkosaji mmoja huangamiza mema mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita; Lakini mkosaji mmoja huharibu mema mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuwa na hekima ni bora kuliko kutegemea silaha, lakini mwenye zambi mumoja anaharibu mazuri mengi.