Ecclesiastes 9:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; (maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini anayeambatana na walio hai analo bado tumaini, afadhali mbwa hai kuliko simba mfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akingali mwenye bia nao wote walio hai hutegemeka, kwani mbwa aliye hai hupata mema kuliko simba aliyekufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; (maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini anayeambatana na wanaoishi angali bado na tumaini. Afazali imbwa mwenye kuishi kuliko simba mwenye kufa.