Ecclesiastes 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mavazi yako na yawe meupe sikuzote; wala kichwa chako kisikose marhamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mavazi yako na yawe meupe siku zote; wala kichwa chako kisikose manukato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kavae nguo nyeupe siku zote, nacho kichwa chako kisikose mafuta!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mavazi yako na yawe meupe sikuzote; wala kichwa chako kisikose marhamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vaa vizuri, ujipakae mafuta kwenye kichwa.