Ephesians 2:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Al-Masihi Isa ndiye jiwe kuu la pembeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi mnaoamini ni kama jengo linalomilikiwa na Mungu. Jengo hilo limejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii. Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la muhimu sana katika jengo hilo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Al-Masihi Isa mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mmejengwa juu ya msingi wao mitume na wafumbuaji, ambao Kristo Yesu ni jiwe lake la pembeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi vilevile ni kama jengo linalosimama juu ya musingi uliowekwa na mitume na manabii; Yesu Kristo mwenyewe ndiye jiwe kubwa la pembe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mmejengwa juu ya misingi ya mitume na manabii, na Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni;