Ephesians 2:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kuinuliwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Jengo lote limeunganishwa katika Kristo, naye hulikuza na kuwa hekalu takatifu katika Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye ndiye mwenye kulitengeneza jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya B wana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu yake yeye jengo lote linaunganishwa, lipate kukua, mpaka liwe nyumba takatifu, Bwana alimo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kuungana naye, jengo lote nzima linaunganishwa vizuri na kuongezeka hata lipate kuwa hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
katika yeye jengo lote likiungamanishwa vema linakua hatta liwe hekalu takatifu katika Bwana;