Ephesians 2:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kupitia kwa Roho wake Mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na katika Kristo mnajengwa pamoja na watu wake wengine. Mnafanywa kuwa makazi ambapo Mungu anaishi katika Roho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Katika kuungana naye, ninyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mwenyezi Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake Mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humu nanyi mnajengwa pamoja na wengine, mwe kao lake Mungu la Kiroho.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kuungana pamoja na Kristo, ninyi vilevile munaunganishwa pamoja na wengine wote kuwa makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
katika yeye na ninyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.