Ephesians 3:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwake Mungu uwe utukufu katika kanisa na katika Kristo Yesu, nyakati zote, milele na milele! Amina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye atukuzwe katika jumuiya ya waumini, na katika Al-Masihi Isa kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kila wakati, milele na milele. Amina.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwake Mungu uwe utukufu katika kanisa na katika Kristo Yesu, nyakati zote, milele na milele! Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwake Mungu uwe utukufu katika kanisa na katika Kristo Yesu, nyakati zote, milele na milele! Amina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye atukuzwe katika jumuiya ya waumini, na katika Al-Masihi Isa kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naam, atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwake Mungu uwe utukufu katika kanisa na katika Kristo Yesu, nyakati zote, milele na milele! Amina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye atukuzwe kwao wateule walio wake Kristo Yesu siku zote zitakazokuwapo kale na kale pasipo mwisho! Amin.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atukuzwe katika kanisa na katika Yesu Kristo, kwa vizazi vyote kwa milele na milele. Amina.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwake yeye utukufu katika Kanisa, na katika Kristo Yesu hatta vizazi vyote vya milele na milele. Amin.