Ephesians 3:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ikiwa mtasoma nilichowaandikia, mtajua kuwa ninaielewa siri ya kweli kuhusu Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkiyasoma mwaweza kuuona ujuzi wangu wa fumbo la Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mukiyasoma mutaweza kutambua jinsi ninavyoelewa ule mupango wa Kristo uliofichwa.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa hayo, myasomapo, mtaweza kutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo;