Ephesians 4:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uhai wa Mungu kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambao; akili zao zimetiwa giza, nao wamefarikishwa na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo ndani yao, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hawana ufahamu, na hawajui lolote kwa sababu wamekataa kusikiliza. Hivyo hawawezi kupata maisha mapya Mungu anayowapa watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uhai wa Mungu kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambao; akili zao zimetiwa giza, nao wametengwa na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo ndani yao, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uhai wa Mungu kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mawazo yao yameguiwa na giza, uzima wa Mungu ukawa kitu kigeni kwao kwa ajili ya ujinga, walio nao, na kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambao; akili zao zimetiwa giza, nao wamefarikishwa na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo ndani yao, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wenye mafikiri yaliyotiwa katika giza. Watu hawa hawashiriki katika uzima ule unaoletwa na Mungu, kwa sababu wao ni wapumbafu na wenye mioyo migumu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akili zao zimetiwa giza, wamekaa mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo niwao, kwa sababu mioyo yao imekufa ganzi: