Ephesians 4:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kujiingiza katika kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadi wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wamepoteza hisia zao za aibu na wanayatumia maisha yao kutenda yale yaliyo mabaya kimaadili. Zaidi ya hapo wanataka kutenda kila aina ya uovu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kupendelea kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kupendelea kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadi wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, walivyokufa ganzi la mioyo, wakajitia katika uasherati, wakayafanya machafu yote wakijipatiamo mali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadi wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawasikii tena haya hata kidogo nao wamejitoa katika mambo ya ovyo na kufanya bila kujizuiza mambo yote mabaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
watu waliopooza kabisa, wamejitia katika mambo ya ufasiki, wapate kufanyiza killa namna ya uchafu kwa kutamani.