Ephesians 4:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ninyi, sivyo mlivyojifunza Kristo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini aina hiyo ya maisha haiko kama ile mliyojifunza mlipomjua Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyomjifunza Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Kristo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi hamkufundishwa mambo ya Kristo kuwa hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ninyi, sivyo mlivyojifunza Kristo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi hamukujifunza vile juu ya Kristo!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali ninyi hamkujifunza hivi khabari za Kristo;