Ephesians 4:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo hujionesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na utakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki ya kweli na utakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mmoja wenu auvae utu ule mpya ulioumbwa kwa kufananishwa na Mungu, ambao kwa hakika una wema na ni wenye kumpendeza Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo hujionyesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na utakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo hujionesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na utakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mwenyezi Mungu katika haki yote na utakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo hujionesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na utakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mmvae mtu mpya aliyeumbwa kuwa wa Kimungu mwenye wongofu na utakatifu wa kweli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukuwe na hali mupya, inayoumbwa kwa mufano wa Mungu na inayoonekana katika maisha ya haki na utakatifu wa kweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mkavae mtu mpya, aliyeumbwa kwa namna ya Mungu katika baki na utakatifu wa kweli.