Ephesians 4:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jitahidini kudumisha umoja wa Roho wa Mungu katika kifungo cha amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmeunganishwa pamoja kwa amani na Roho. Jitahidini mwezavyo kudumu kuutunza umoja huo, mkiunganishwa pamoja kwa amani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jitahidini kudumisha umoja wa Roho wa Mwenyezi Mungu katika kifungo cha amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, Roho alivyowageuza kuwa mmoja, mjikaze kujiunga kwa mapatano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujikaze sana kuchunga umoja wa Roho, kwa amani inayowaunganisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mkijitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.