Ephesians 4:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo alimpa kila mmoja wetu karama. Kila mmoja alipokea kwa jinsi alivyopenda yeye kuwapa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sote tumegawiwa kipaji, kila mmoja chake yeye, kama Kristo alivyompimia cha kumpa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kila mutu kati yetu alipokea neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini killa mmoja wetu alipewa neema, kwa kadiri ya kipawa cha Kristo.