Ephesians 4:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo maana Maandiko yanasema, “Alipaa kwenda mahali pa juu sana; aliwachukua wafungwa pamoja naye, na akawapa watu vipawa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka akawapa wanadamu vipawa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo yamesemwa: Alipopaa juu aliteka mateka, akawapa watu vipaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Maandiko Matakatifu yanavyosema: “Alipopanda juu, alikamata wafungwa, aliwapatia watu zawadi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa biyo asema, Alipopanda juu, aliteka mateka, Akawapa watu vipawa.