Ephesians 4:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, inaposemwa: “Alipaa juu,” ina maana gani? Maana yake ni kwamba, kwanza alishuka mpaka chini kabisa duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema kwamba Al-Masihi pia alishuka pande za chini sana za dunia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi neno hilo, Alipaa, maana yake nini kama siyo kusema kwamba yeye naye alishuka mpaka pande zilizo chini za nchi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Inaposema, “Alipaa juu,” inamaanisha nini? Inamaanisha kuwa kwanza alikuja chini duniani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, inaposemwa: “alipaa juu,” ina maana gani? Maana yake ni kwamba, kwanza alishuka mpaka chini kabisa duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, inaposemwa: “Alipaa juu,” ina maana gani? Maana yake ni kwamba, kwanza alishuka mpaka chini kabisa duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Al-Masihi alishuka pande za chini sana za dunia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi neno hilo, Alipaa, maana yake nini kama siyo kusema kwamba yeye naye alishuka mpaka pande zilizo chini za nchi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, inaposemwa: “Alipaa juu,” ina maana gani? Maana yake ni kwamba, kwanza alishuka mpaka chini kabisa duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, neno hili: “alipaa” ni kwambaje isipokuwa kwamba: Alishuka kwanza kwenda pande za kuzimuni kwa nchi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi neno hilo, Alipaa, maana yake nini kama siyo kusema kwamba yeye naye alishuka mpaka pande zilizo chini za nchi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, neno hili “alipanda juu,” lina maana gani? Maana yake ni kusema kwamba alishuka kwanza mpaka chini katika dunia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
(Bassi, neno lile, Alipanda, maana yake nini kania sio kusema kwamba alishuka hatta pande za chini za inchi?