Ephesians 5:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msishiriki katika matendo yasiyofaa ya giza, bali yafichueni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msishiriki katika mambo yanayotendwa na watu wa giza, yasiyosababisha jambo lolote zuri. Badala yake, mwambieni kila mtu jinsi mambo hayo yasivyokuwa sahihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msishiriki katika matendo yasiyofaa ya giza, bali yafichueni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msishiriki katika matendo yasiyofaa ya giza, bali yafichueni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiwe wenzao wenye kuzifanya kazi za giza zisizofaa, ila mkaze kuwaumbua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musishiriki katika matendo ya giza yasiyofaa, lakini muyafichue.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;