Ephesians 5:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kila kilichodhihirishwa huwa mwanga. Ndiyo maana Maandiko yasema: “Amka wewe uliyelala, fufuka kutoka kwa wafu, naye Kristo atakuangaza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana: “Amka, wewe uliyelala, ufufuke kutoka kwa wafu, naye Al-Masihi atakuangazia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo husema, Amka, wewe usinziaye, Ufufuke katika wafu, Na Kristo atakuangaza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, kila kitu kinawekwa wazi na nuru. Ndiyo maana tunasema, “Amka, wewe unayelala! Fufuka kutoka kwa wafu, na Kristo atakuangazia nuru yake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kila kilichodhihirishwa huwa mwanga. Ndiyo maana Maandiko yasema: “Amka wewe uliyelala, fufuka kutoka wafu, naye Kristo atakuangaza.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kila kilichodhihirishwa huwa mwanga. Ndiyo maana Maandiko yasema: “Amka wewe uliyelala, fufuka kutoka kwa wafu, naye Kristo atakuangaza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana: “Amka, wewe uliyelala, ufufuke kutoka katika wafu, naye Kristo atakuangazia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana: “Amka, wewe uliyelala, ufufuke kutoka kwa wafu, naye Al-Masihi atakuangazia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo husema, Amka, wewe usinziaye, Ufufuke katika wafu, Na Kristo atakuangaza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kila kilichodhihirishwa huwa mwanga. Ndiyo maana Maandiko yasema: “Amka wewe uliyelala, fufuka kutoka kwa wafu, naye Kristo atakuangaza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo husema: Amka, wewe uliyelala! Inuka, utoke kwenye wafu! Kisha Kristo atakuangaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo husema, Amka, wewe usinziaye, Ufufuke katika wafu, Na Kristo atakuangaza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana yote yanayoonekana wazi yanageuka mwangaza. Ni kwa hiyo inasemwa hivi: “Amuka wewe unayelala! Ufufuke kutoka kati ya wafu, naye Kristo atakuangazia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa biyo anena, Amka, wewe usinziae, kafufuka, na Kristo atakuangaza.