Ephesians 6:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Amri husema, “Waheshimu baba yako na mama yako.” Hii ndiyo amri ya kwanza iliyo na ahadi pamoja nayo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waheshimu baba yako na mama yako; hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mheshimu baba yako na mama yako! Nalo ni agizo la kwanza lenye kiagio cha kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Heshimu baba yako na mama yako.” Hii ni amri ya kwanza ambayo waliongeza ahadi hii juu yake:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waheshimu baba yako na mama yako (amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi),