Ephesians 6:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninawatakieni nyinyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba Mwenyezi na kwa Bwana Isa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amani na iwe kwa ndugu, na pendo, pamoja na imani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Namwomba Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo awape amani, upendo na imani ndugu zangu wote mlio huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninawatakieni ninyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninawatakieni nyinyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Bwana Isa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amani na iwe kwa ndugu, na upendo, pamoja na imani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninawatakieni nyinyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu, mtengemane na kupendana, mpate hata nguvu ya kumtegemea Mungu itokayo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amani na iwe kwa ndugu, na pendo, pamoja na imani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawatakia wandugu amani, upendo na imani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amani kwa ndugu, na pendo pamoja na imani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana Yesu Kristo.