Ephesians 6:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawatakia neema ya Mungu wote wanaompenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neema iwe na wote wanaompenda Bwana wetu Isa Al-Masihi kwa upendo wa dhati. Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neema na iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo katika hali ya kutokuharibika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naomba neema ya Mungu iwe pamoja nanyi nyote mnaompenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa pendo lisilo na mwisho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawatakia neema ya Mungu wote wanaompenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawatakia neema ya Mungu wote wanaompenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Isa Al-Masihi kwa upendo wa dhati. Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neema na iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo usioisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawatakia neema ya Mungu wote wanaompenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole uwakalie wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo pasipo kulegea! Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neema na iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo katika hali ya kutokuharibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawatakia neema wale wote wanaomupenda Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo usiokuwa na mwisho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neema iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu pasipo hila. Amin.