Ephesians 6:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na hii ndiyo ahadi: “Ndipo utakapofanikiwa, na utakuwa na maisha marefu duniani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Upate fanaka na miaka mingi duniani.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upate heri na kuishi siku nyingi katika dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upate kukaa vema, nazo siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kusudi upate heri na uishi siku nyingi katika dunia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
upate ukheri, nkakae sana katika dunia.