Esther 1:14 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Washauri wake wa kawaida walikuwa Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Maresi, Marsena na Memukani — viongozi saba wa Persia na Media waliokuwa na vyeo vya juu kabisa katika utawala wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao waliokuwa karibu na mfalme ni Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena na Memukani, wakuu saba wa Uajemi na Umedi waliokuwa na nafasi ya pekee kwa mfalme nao walikuwa na vyeo vya juu kabisa katika utawala wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na karibu naye wameketi Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena, na Memukani, wale maakida saba wa Uajemi na Umedi, waliouona uso wa mfalme, na kuketi wa kwanza katika ufalme; akawauliza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Washauri wake wa kawaida walikuwa Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Maresi, Marsena na Memukani — viongozi saba wa Persia na Media waliokuwa na vyeo vya juu kabisa katika utawala wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao waliokuwa karibu na mfalme ni Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena na Memukani, wakuu saba wa Uajemi na Umedi ambao walikuwa na nafasi ya pekee kwa mfalme nao walikuwa na vyeo vya juu kabisa katika utawala wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao waliokuwa karibu na mfalme ni Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena na Memukani, wakuu saba wa Uajemi na Umedi waliokuwa na nafasi ya pekee kwa mfalme nao walikuwa na vyeo vya juu kabisa katika utawala wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliomfuata kwa ukuu walikuwa Karsina, Setari, Adimata, Tarsisi, Meresi, Marsina na Memukani, ndio wakuu saba wa Persia na wa Media waliotokea usoni pa mfalme, nao walikuwa wa kwanza katika ufalme huo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na karibu naye wameketi Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena, na Memukani, wale maakida saba wa Uajemi na Umedi, waliouona uso wa mfalme, na kuketi wa kwanza katika ufalme; akawauliza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Washauri wake wa kawaida walikuwa Karsena, Setari, Adimata, Tarsisi, Maresi, Marsena na Memukani – viongozi saba wa Persia na Media waliokuwa na vyeo vya juu kabisa katika utawala wake.