Esther 1:15 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwauliza hivi: “Je, kulingana na sheria, afanyiwe nini malkia Vashti? Maana, nimewatuma matowashi wangu kwake, lakini yeye amekataa kuitii amri yangu, mimi mfalme Ahasuero!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akauliza, “Kulingana na sheria, Malkia Vashti anapaswa kutendewa nini? Malkia hakutii amri ya Mfalme Ahasuero ambayo matowashi walimpelekea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwauliza hivi: “Je, kulingana na sheria, afanyiwe nini malkia Vashti? Maana, nimewatuma matowashi wangu kwake, lakini yeye amekataa kuitii amri yangu, mimi mfalme Ahasuero!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akauliza, “Kulingana na sheria, Malkia Vashti anapaswa atendewe nini? Malkia hakutii amri ya Mfalme Ahusuero ambayo matowashi walimpelekea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akauliza, “Kulingana na sheria, Malkia Vashti anapaswa kutendewa nini? Malkia hakutii amri ya Mfalme Ahasuero ambayo matowashi walimpelekea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawauliza: Ndio nini inayopasa kwa amri za serikali kumfanyizia wasti, mkewe mfalme, kwa kuwa hakuifanya amri ya mfalme Ahaswerosi, aliyompelekea kwa vinywa vya wale watumishi wa nyumbani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawauliza hivi: “Kulingana na sheria, malkia Vashiti afanyiwe nini? Maana, nimewatuma matowashi wangu kwake, lakini yeye amekataa kuitii amri yangu, mimi mufalme Ahasuero!”