Esther 1:2 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Mfalme Ahasuero alitawala kwenye kiti chake cha ufalme katika ngome ya mji wa Shushani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siku zile mfalme Ahasuero alipoketi katika kiti cha enzi cha ufalme wake, huko Shushani ngomeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Mfalme Ahusuero alipotawala katika kiti chake cha enzi kilikuwa katika ngome ya mji wa Shushani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Mfalme Ahasuero alitawala katika kiti chake cha enzi katika ngome ya mji wa Shushani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hapo, yeye mfalme Ahaswerosi alipokaa katika kiti chake cha kifalme jumbani mwake huko Susani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku zile mfalme Ahasuero alipoketi katika kiti cha enzi cha ufalme wake, huko Shushani ngomeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiti chake cha kifalme kilikuwa katika muji mukubwa Susani.