Esther 1:20 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amri hiyo itakapotangazwa katika eneo lote la utawala wako, kila mwanamke atamheshimu mume wake, awe tajiri au maskini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mbiu hii ya mfalme itakapotangazwa katika himaya yake iliyo kubwa sana, wanawake wote watawaheshimu waume zao, kuanzia mdogo hadi mkubwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amri hiyo itakapotangazwa katika eneo lote la utawala wako, kila mwanamke atamheshimu mume wake, awe tajiri au maskini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakati mbiu hii ya mfalme itakapotangazwa katika himaya yake iliyo kubwa sana, wanawake wote watawaheshimu waume zao, kuanzia mdogo hadi mkubwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mbiu hii ya mfalme itakapotangazwa katika himaya yake iliyo kubwa sana, wanawake wote watawaheshimu waume zao, kuanzia mdogo hadi mkubwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbiu hiyo, mfalme atakayoitoa, itakapotangazwa katika ufalme wake wote ulio mkubwa, ndipo, wanawake wote watakapowapa bwana zao macheo, wakubwa kwa wadogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amri hiyo itakapotangazwa katika eneo lote la utawala wako, kila mwanamuke atamuheshimu mume wake, akuwe tajiri au masikini.”