Esther 1:21 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazo hilo lilimpendeza sana mfalme na viongozi wake, akatekeleza kama alivyopendekeza Memukani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme na wakuu wake walipendezwa na shauri hili, hivyo basi mfalme akafanya kama Memukani alivyopendekeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi neno hili likawapendeza mfalme na maakida; naye mfalme akafanya sawasawa na neno lake Memukani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazo hilo lilimpendeza sana mfalme na viongozi wake, akatekeleza kama alivyopendekeza Memukani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme na wakuu wake walipendezwa na shauri hili, mfalme akafanya kama Memukani alivyopendekeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme na wakuu wake walipendezwa na shauri hili, hivyo basi mfalme akafanya kama Memukani alivyopendekeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili mfalme na wakuu wakaliona kuwa jema, mfalme akafanya, kama Memukani alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi neno hili likawapendeza mfalme na maakida; naye mfalme akafanya sawasawa na neno lake Memukani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazo hilo likamupendeza sana mufalme na viongozi wake, akatimiza sawa vile Memukani alivyopendekeza.