Esther 1:22 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akapeleka barua kwa kila mkoa kwa lugha na maandishi yanayoeleweka mkoani: Kwamba kila mwanamume awe bwana wa nyumba yake, na kuitangaza habari hii kwa lugha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipeleka barua katika sehemu zote za ufalme wake, kwa kila jimbo kwa maandishi yake mwenyewe na kwa kila watu katika lugha yao wenyewe, akitangaza kwa msemo wa kila watu kwamba inampasa kila mwanaume kuwa mtawala wa nyumba yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana alipeleka nyaraka katika majimbo yote ya mfalme, kila jimbo kwa mwandiko wake, na kila taifa kwa lugha yake, ya kwamba kila mwanamume atawale nyumbani mwake, na kuitangaza habari hii kwa lugha ya watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akapeleka barua kwa kila mkoa kwa lugha na maandishi yanayoeleweka mkoani: kwamba kila mwanamume awe bwana wa nyumba yake, na kuitangaza habari hii kwa lugha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipeleka barua katika sehemu zote za ufalme wake, kwa kila jimbo kwa maandishi yake mwenyewe na kwa kila watu katika lugha yao wenyewe, akitangaza kwa msemo wa kila watu kwamba inampasa kila mwanaume kuwa mtawala wa nyumba yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipeleka barua katika sehemu zote za ufalme wake, kwa kila jimbo kwa maandishi yake mwenyewe na kwa kila watu katika lugha yao wenyewe, akitangaza kwa msemo wa kila watu kwamba inampasa kila mwanaume kuwa mtawala wa nyumba yake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatuma barua katika majimbo yote ya mfalme, kwa kila jimbo katika maandiko yao na kwa kila kabila katika msemo wa kwao kwamba: Kila mume sharti awe mkuu nyumbani mwake, akate mashauri, kama yanavyosemwa kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana alipeleka nyaraka katika majimbo yote ya mfalme, kila jimbo kwa mwandiko wake, na kila taifa kwa lugha yake, ya kwamba kila mwanamume atawale nyumbani mwake, na kuitangaza habari hii kwa lugha ya watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akapeleka barua kwa kila jimbo kwa luga na maandiko yanayoeleweka katika jimbo: kwamba kila mwanaume akuwe bwana wa nyumba yake, na kuitangaza habari hii kwa luga yake.