Esther 1:7 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walipewa vinywaji katika vikombe mbalimbali vya dhahabu, naye mfalme alikuwa mkarimu sana wa divai ya kifalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyombo vya dhahabu vilitumika kwa watu kunywea mvinyo, kila kimoja tofauti na kingine, naye mfalme akatoa mvinyo kwa wingi kwa kadiri ya ukarimu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawanywesha kileo katika vyombo vya dhahabu, na vile vyombo vilikuwa mbalimbali, na divai tele ya namna ya kifalme, sawasawa na ukarimu wa mfalme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walipewa vinywaji katika vikombe mbalimbali vya dhahabu, naye mfalme alikuwa mkarimu sana wa divai ya kifalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyombo vya dhahabu vilitumika kwa watu kunywea mvinyo, kila kimoja tofauti na kingine, naye mfalme akatoa mvinyo kwa wingi kwa kadiri ya ukarimu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyombo vya dhahabu vilitumika kwa watu kunywea mvinyo, kila kimoja tofauti na kingine, naye mfalme akatoa mvinyo kwa wingi kwa kadiri ya ukarimu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vyombo, watu walivyovipata vya kunywea, vilikuwa vya dhahabu; hivyo vyombo navyo vilipitanapitana kwa namna zao, nazo mvinyo za kifalme zilikuwa nyingi, kama inavyoupasa utu wa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawanywesha kileo katika vyombo vya dhahabu, na vile vyombo vilikuwa mbalimbali, na divai tele ya namna ya kifalme, sawasawa na ukarimu wa mfalme;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walipewa vinywaji katika vikombe mbalimbali vya zahabu. Na divai ya kifalme ilikuwa nyingi sawa mapato ya mufalme.