Esther 1:9 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo huo, malkia Vashti naye aliwaandalia akina mama karamu ndani ya ikulu ya Ahasuero.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malkia Vashti pia akawafanyia wanawake karamu katika jumba la kifalme la Mfalme Ahasuero.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo huo, malkia Vashti naye aliwaandalia akina mama karamu ndani ya ikulu ya Ahasuero.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malkia Vashti pia akawafanyia wanawake karamu katika jumba la kifalme la Mfalme Ahusuero.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malkia Vashti pia akawafanyia wanawake karamu katika jumba la kifalme la Mfalme Ahasuero.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Wasti, mkewe mfalme, alifanya karamu ya wanawake mle ndani ya jumba la kifalme la mfalme Ahaswerosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati uleule, malkia Vashiti naye akawaandalia wanawake karamu ndani ya nyumba ya kifalme ya Ahasuero.