Esther 10:1 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Ahasuero alitoza ushuru katika himaya yake yote, hadi miambao yake ya mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Ahusuero alitoza ushuru katika ufalme wake wote hadi kwenye miambao yake ya mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Ahasuero alitoza ushuru katika ufalme wake wote hadi kwenye miambao yake ya mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme Ahaswerosi akatoza kodi katika hiyo nchi, hata katika visiwa vya baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Ahasuero alilipisha kodi kwa watu wa inchi na katika visanga vya bahari.