Esther 2:1 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye, wakati hasira ya Mfalme Ahasuero ilikuwa imetulia, alimkumbuka Vashti na kile alichokuwa amekifanya, na alilokuwa ameamuru juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye, wakati hasira ya Mfalme Ahusuero ilipokuwa imetulia, alimkumbuka Vashti na kile alichokuwa amekifanya na alilokuwa ameamuru juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye, wakati hasira ya Mfalme Ahasuero ilikuwa imetulia, alimkumbuka Vashti na kile alichokuwa amekifanya na alilokuwa ameamuru juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baada ya mambo hayo, makali ya mfalme Ahaswerosi yalipotulia, akamkumbuka Wasti nayo, aliyoyafanya, nalo shauri, alilokatiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya mambo yale, hasira yake ilipokwisha kutulia, mufalme Ahasuero akamukumbuka Vashiti, akakuwa anafikiri juu ya ugumu wake na hatua iliyokamatwa juu yake.