Esther 2:10 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Esta alikuwa hajajitambulisha ukoo wala kabila lake, maana Mordekai alikuwa amemwonya asifanye hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Esta alikuwa hajadhihirisha uraia wake na asili yake, kwa sababu Mordekai alikuwa amemkataza kufanya hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini Esta hakudhihirisha kabila yake wala jamaa yake, kwa maana ndivyo alivyomwagiza Mordekai asiwadhihirishe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Esta alikuwa hajajitambulisha ukoo wala kabila lake, maana Mordekai alikuwa amemwonya asifanye hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Esta alikuwa hajadhihirisha uraia wala kabila lake, kwa sababu Mordekai alikuwa amemkataza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Esta alikuwa hajadhihirisha uraia wala kabila lake, kwa sababu Mordekai alikuwa amemkataza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Esteri kakuujulisha ukoo wake wala mlango wake, kwa kuwa Mordekai alimkataza, asiujulishe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini Esta hakudhihirisha kabila yake wala jamaa yake, kwa maana ndivyo alivyomwagiza Mordekai asiwadhihirishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Esteri alikuwa hajatambulisha ukoo wala kabila lake, maana Mordekayi alikuwa amemwonya asifanye hivyo.