Esther 2:16 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Esta alipelekwa ikulu kwa mfalme katika mwaka wa saba wa utawala wa mfalme Ahasuero, mwezi wa kumi uitwao Tebethi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Esta alipelekwa kwa Mfalme Ahasuero katika makao ya mfalme mwezi wa kumi, yaani mwezi wa Tebethi, katika mwaka wake wa saba wa kutawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Esta alipelekwa ikulu kwa mfalme katika mwaka wa saba wa utawala wa mfalme Ahasuero, mwezi wa kumi uitwao Tebethi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipelekwa kwa Mfalme Ahusuero katika makao ya kifalme katika mwezi wa kumi, mwezi wa Tebethi, katika mwaka wake wa saba wa kutawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Esta alipelekwa kwa Mfalme Ahasuero katika makao ya mfalme mwezi wa kumi, yaani mwezi wa Tebethi, katika mwaka wake wa saba wa kutawala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu Esteri akapelekwa kwa mfalme Ahaswerosi nyumbani mwake mwa kifalme katika mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebeti katika mwaka wa saba wa kutawala kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Esteri akapelekwa katika nyumba kwa mufalme katika mwaka wa saba wa utawala wa mufalme Ahasuero, mwezi wa kumi unaoitwa Tebeti.