Esther 2:19 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wasichana walipokusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa ameketi penye lango la mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati mabikira walikusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa ameketi katika lango la mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mabikira walipokusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa akiketi mlangoni pa mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wasichana walipokusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa ameketi penye lango la mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mabikira walipokusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa ameketi katika lango la mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mabikira walikusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa ameketi katika lango la mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokusanywa wanawali mara ya pili, Mordekai alikuwa akikaa langoni pa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mabikira walipokusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa akiketi mlangoni pa mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wabinti walipokusanyika mara ya pili, Mordekayi alikuwa anaikaa kwenye mulango wa mufalme.