Esther 2:4 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule atakayekupendeza zaidi, na afanywe malkia badala ya Vashti.” Mfalme akaona shauri hilo ni jema, akafanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule ambaye atampendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti.” Shauri hili likampendeza mfalme, naye akalifuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule atakayekupendeza zaidi, na afanywe malkia badala ya Vashti.” Mfalme akaona shauri hilo ni jema, akafanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule ambaye atampendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti.” Shauri hili likampendeza mfalme, naye akalifuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule ambaye atampendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti.” Shauri hili likampendeza mfalme, naye akalifuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye kijana atakayempendeza mfalme na awe mkewe mfalme mahali pa wasti. Neno hili likampendeza mfalme, akafanya hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule atakayekupendeza zaidi, afanywe malkia pahali pa Vashiti.” Mufalme akaona shauri hilo ni jema, akafanya hivyo.