Esther 2:5 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mjini Susa, palikuwa na mtu mmoja Myahudi, jina lake Mordekai, mwana wa Yairi mwana wa Shimei, mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi katika mji wa ngome ya Shushani palikuwa na Myahudi wa kabila la Benyamini, jina lake Mordekai mwana wa Yairi, mwana wa Shimei, mwana wa Kishi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi palikuwa na Myahudi mmoja huko Shushani ngomeni; jina lake Mordekai, bin Yairi, bin Shimei, bin Kishi, wa kabila ya Benyamini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mjini Susa, palikuwa na mtu mmoja Myahudi, jina lake Mordekai, mwana wa Yairi mwana wa Shimei, mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi katika mji wa ngome ya Shushani palikuwa na Myahudi wa kabila ya Benyamini, jina lake Mordekai mwana wa Yairi, mwana wa Shimei, mwana wa Kishi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi katika mji wa ngome ya Shushani palikuwa na Myahudi wa kabila ya Benyamini, jina lake Mordekai mwana wa Yairi, mwana wa Shimei, mwana wa Kishi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle Susani, mlimokuwa wa jumba la mfalme, mlikuwa na mtu wa Kiyuda, jina lake Mordekai, mwana wa Yairi, mwana wa Simei, mwana wa Kisi, wa mlango wa Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi palikuwa na Myahudi mmoja huko Shushani ngomeni; jina lake Mordekai, bin Yairi, bin Shimei, bin Kishi, wa kabila ya Benyamini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika muji wa Susani, kulikuwa mutu mumoja Muyuda, jina lake Mordekayi, mwana wa Yairi wa uzao wa Simei, na Kisi wa kabila la Benjamina.