Esther 3:11 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo mfalme akamwambia Hamani, “Umepewa watu wote na hizo fedha, tumia upendavyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akamwambia Hamani, “Baki na fedha yako na uwatendee hao watu utakavyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mfalme akamwambia Hamani, Hiyo fedha umepewa, na watu pia, fanya uonavyo vema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo mfalme akamwambia Hamani, “Umepewa watu wote na hizo fedha, tumia upendavyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akamwambia Hamani, “Baki na fedha yako na uwatendee hao watu utakavyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akamwambia Hamani, “Baki na fedha yako na uwatendee hao watu utakavyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia Hamani: Zile fedha umepewa kukaa nazo, nao watu wa ule ukoo uwafanyizie yaliyo mema machoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mfalme akamwambia Hamani, Hiyo fedha umepewa, na watu pia, fanya uonavyo vema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme akamwambia Hamani: “Umepewa watu wote na feza zile, tumia vile unavyopenda.”