Esther 3:14 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Taarifa hiyo ilitakiwa iandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nakala ya andiko la amri ilipaswa kutolewa kama sheria katika kila jimbo, na kufahamishwa kwa watu wa kila taifa ili waweze kuwa tayari kwa siku ile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakili ya andiko, ya kupigwa mbiu katika kila jimbo, ilitangazwa kwa mataifa yote wawe tayari siku ile ile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Taarifa hiyo ilitakiwa iandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nakala ya andiko la amri ilipaswa kutolewa kama sheria katika kila jimbo na kufahamishwa kwa watu wa kila taifa ili waweze kuwa tayari kwa siku ile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nakala ya andiko la amri ilipaswa kutolewa kama sheria katika kila jimbo, na kufahamishwa kwa watu wa kila taifa ili waweze kuwa tayari kwa siku ile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwandiko wa pili wa hizo barua ukatangazwa katika kila jimbo moja kuwa amri iliyotolewa na mfalme, watu wote pia wakaelezwa vema, wapate kuwa tayari siku hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakili ya andiko, ya kupigwa mbiu katika kila jimbo, ilitangazwa kwa mataifa yote wawe tayari siku ile ile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barua hiyo ilitakiwa iandikwe kwa watu wote katika kila jimbo, kusudi kila mutu ajitayarishe kwa ajili ya siku hiyo.