Esther 4:12 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mordekai alipopata ujumbe wa Esta,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati Mordekai aliarifiwa maneno ya Esta,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamwambia Mordekai maneno ya Esta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mordekai alipopata ujumbe wa Esta,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati maneno ya Esta yalipotaarifiwa kwa Mordekai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Mordekai aliarifiwa maneno ya Esta,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomsimulia Mordekai haya maneno ya Esteri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamwambia Mordekai maneno ya Esta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mordekayi alipopata ujumbe wa Esteri,